RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

HONDWA MATHIAS AKONGA MIOYO NDANI YA MEGA MKATE NA PRAISE POWER RADIO SIKU YA PASAKA-URAFIKI SOCIAL HALL SINZA LEGHO DAR

Katika waimbaji waliweza kukonga mioyo ya watu waliofika katika ukumbi wa Urafiki Social Hall Sinza Legho jijini Dar es Salaam kwenye "event" ya Mega Mkate na Praise Power Radio. Wimbo wake wa NI NANI KAMA MAMA uliwafanya watu kubaki kimia huku wakitokwa na machozi kutokana na ujumbe mzito aliouimba mwimbaji huyu. Tuzidi kumuombea asone mbele na pia kumuunga mkono kwa kununua albams zake.

Hondwa Mathias
 Stanley Msungu (Seneta Msungu)


Comments