Select Menu

News

USIKOSE IJUMAA HII MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"

USIKOSE IJUMAA HII MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"

MLIMA WA MOTO JUMAPILI HII

MLIMA WA MOTO JUMAPILI HII

SARAH KUZINDUA ALBAM YAKE JUMAPILI HII

SARAH KUZINDUA ALBAM YAKE JUMAPILI HII

MCH. BURTON SANGA

MCH. BURTON SANGA

TTCL

TTCL

GEPF

GEPF

VIGAE TANGAZO

VIGAE TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

AZAM TV

AZAM TV

RUMAFRICA NA HABARI ZA GOSPEL: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA Online MAGAZINE: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

Rumafrica. Powered by Blogger.

RUMAFRICA Online TV: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA: MATANGAZO: Bonyeza alama nyekundu

ELIMIKA NA RUMAFRICA

RUMAFRICA MTAANI

MLIMA WA MOTO ONLINE TV NA HABARI MBALIMBALI ZA MLIMA WA MOTO

RUMAFRICA VIDEO

» »Unlabelled » MCHUNGAJI APOTEZA WATOTO WANNE KATIKA AJALI YEYE NA MKEWE WASALIMIKA


Sanga Rulea 4:02 AM 0Kama kuna jambo limefichwa usoni pa wanadamu ni KIFO

Tungelijua sijui tungekuwa na aina gani ya Maisha…

Labda tusingesoma,labda tusingejenga nyumba,labda tusingeoa na kuolewa,labda tusingezaa watoto na yamkini tusingenunua magari wala kusafiri kwa kutumia magari hayo...inabaki kuwa fumbo!
Jana imekuwa siku ngumu na mbaya ambayo itabaki kuwa kovu kwa maisha yote kwa mchungaji Pastory Michael Kajembe ambaye ni mchungaji wa TAG-Ebenezer (Dodoma)Mwanataaluma mahiri wa Theolojia,na Mwalimu wa Chuo cha Biblia Dodoma (Central Bible College, zamani AGBC) na familia yake,Kanisa la TAG kwa ujumla,ndugu jamaa na marafiki...baada ya kupata Ajali ya Gari akiwa na familia yake, jana alfajiri katikati ya Mtera na Mpunguzi,Mkoani Dodoma na Kupoteza Watoto wake Wanne kwa pamoja Junior, Isaac, Gabriel na Glady katika ajali hiyo.
Mchungaji Pastory Kajembe na Mama, Bwana amewaponya,bado wanahitaji maombi maana nao wamepatwa na Majeraha na wanaendelea na matibabu...
Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina la Bwana libarikiwe

Gari waliyokuwemo watumishi wa Mungu na watoto wao. Picha na habari ©Matthew Sasali

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS