RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

PONGEZI KWA MESS JACOB CHENGULA MUNGU AMEKUONA BAADA YA KUMTUMIKIA KWA NJIA YA UIMBAJI

Mbali na kumbariki kote, Mungu anazidi kumshangaza Mess Chengula kwa kuwezesha katika kazi zake za mikono. Hebu ona Mungu alivyonyoosha mkono wake kwa mwimbaji huyu na kubariki kazi ya Mikono.

Kuna faida kubwa sana kumtumikia Mungu kwa akili, mali, na maarifa uliyojaliwa, na Mungu hatakuacha uaibike.

Ni mwimbaji ambaye ameweza kuwashirikisha waimbaji maarufu Tanzania kama Upendo Nkone katika albamu yake mpya inayotamba sana Tanzania.

Unaweza kufika dukani kwake ambako anauza spea za pikipiki Jumla lililopo Kariakoo Nyamwezi na Mafia, pia wanakusafilishia Mzigo hata kama mkoani piki piki aina zote. Namba yake ipo katika inbox ya akaunt facebook yake





Comments