RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

ALICHOKISEMA MIRIAM JACKSON MWIMBAJI WA GOSPO BONGO: NDOTO YA MIRIAM JACKSON TZ KUWA MWIMBAJI WA KIMATAIFA YAANZA KUTIMIA.

Toka awali tumekuwa na ndoto kubwa sana ili Gospel ya Tanzania kufanya vizuri ndani ya Tanzania na kimataifa zaidi, na ikatubidi kuanzia mwimbaji mmoja ambae ni Miriam Jackson Tz, kwa kweli Mungu ni mwema sana,


now it the time ya kimataifa kwani tunamshukuru Mungu hadi hapa tulipoweza kufikia ni Ebenezer tu, nichukuwe nafasi hii kuwashukuru ndugu zetu ambao tulipowaomba kufanya nao kazi awakusita kutupa nafasi hiyo nianze na My lovel Brother Pitson mzee wa ‘LINGALA LA YESU’ Janet Otieno na Mercy Masika Mungu na awabariki sana, ndugu zetu watanzania wenzetu Team Miriam Jackson Tz bado tupo safari huku Kenya tukiendelea kusaka Tobo la Mziki wa Gospel Tanzania kupenyeza kimataifa zaidi tunaomba maombi yenu amen. UNAWEZA UKAJITAZAMIA MWENYEWE UJIO WA Miriam Jackson ...https://www.youtube.com/watch?v=AXp-gfX9YXY , https://www.youtube.com/watch?v=0cSvD1nPdis,https://www.youtube.com/watch?v=RBWZzSpx5k0

Comments