Select Menu

News

IJUMAA HII MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"

IJUMAA HII MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"

MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B" JUMAPILI HII

MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B" JUMAPILI HII

MTUME DR. PETER NYAGA

MTUME DR. PETER NYAGA

MCH. BURTON SANGA

MCH. BURTON SANGA

TTCL

TTCL

GEPF

GEPF

VIGAE TANGAZO

VIGAE TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

AZAM TV

AZAM TV

RUMAFRICA NA HABARI ZA GOSPEL: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA Online MAGAZINE: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

Rumafrica. Powered by Blogger.

RUMAFRICA Online TV: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA: MATANGAZO: Bonyeza alama nyekundu

ELIMIKA NA RUMAFRICA

RUMAFRICA MTAANI

MLIMA WA MOTO ONLINE TV NA HABARI MBALIMBALI ZA MLIMA WA MOTO

RUMAFRICA VIDEO

» » » EXCLUSIVE: NYIMBO 3 KWA LUGHA YA KISWAHILI ZA PEACEKING DAVID KUTOKA NIGERIA HIZI HAPA


Sanga Rulea 4:36 PM 0

PEACEKING DAVID kutoka Nigeria  kupitia wimbo wake wa sita zilizomo katika albamu ya "NAENDA JUU"  amemshukuru sana Mungu wake kwa kumsaidia kuimba kwa lugha ya Kiswahili hata kama kwake ni lugha ngeni asiyoijua hata kuongea, lakini Mungu alimuongoza na ameweza kufanya kitu kizuri kwa utukufu wa Jehova. Mwimbaji huyu ambaye makazi yake ni jijini Dar es Salaam amesema yuko tayari kufanya kazi ya Bwana na wewe kwahiyo unaweza kuwasilina naye kwa simu +255 715 851 523 au +255 785 501 594. Facebook ni Peace David. Anachokiamini ni kwamba akishafanya kazi na wewe hapo kanisani kwako au kwenye mkutano wako au semina, hata kushirikishwa katika nyimbo zake, watu wataenda kupona na Mungu atajitwalia utukufu

PEACEKING DAVID-MUNGU WA THAMANI

PEACEKING DAVID - NAMWAMINI MUNGU

PEACE KING DAVID - YESU NAKUPENDA

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS