Select Menu

News

IJUMAA HII MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"

IJUMAA HII MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"

MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B" JUMAPILI HII

MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B" JUMAPILI HII

MTUME DR. PETER NYAGA

MTUME DR. PETER NYAGA

MCH. BURTON SANGA

MCH. BURTON SANGA

TTCL

TTCL

GEPF

GEPF

VIGAE TANGAZO

VIGAE TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

AZAM TV

AZAM TV

RUMAFRICA NA HABARI ZA GOSPEL: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA Online MAGAZINE: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

Rumafrica. Powered by Blogger.

RUMAFRICA Online TV: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA: MATANGAZO: Bonyeza alama nyekundu

ELIMIKA NA RUMAFRICA

RUMAFRICA MTAANI

MLIMA WA MOTO ONLINE TV NA HABARI MBALIMBALI ZA MLIMA WA MOTO

RUMAFRICA VIDEO

» » KIGOGO WA TRA, MISS TANZANIA WASWEKWA TENA RUMANDE


Sanga Rulea 3:33 AM 0


nts

LEO April 1, 2016 Serikali iliwapandisha kizimbani aliyekuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania ‘TRA’ Harry Kitilya, mshindi wa taji la Miss Tanzania 1996 ambaye pia alikuwa Afisa Mwandamizi wa Benki ya Stanibic, Tawi la Tanzania, Bi. Shose Sinare pamoja naSioi Solomoni kwa tuhuma mbalimbali zikiwemo za kula njama kutenda kosa pamoja, kughushi nyaraka na kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu.

Kesi hiyo ilipangwa kuendelea tena leo April 22, 2016 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu jijini Dar es Salaam ambapo imeahirishwa na Hakimu Mkazi Emillius Mchauru kwa sababu hakimu hajakamilisha uandikaji wa uamuzi wa kuondoa shitaka la utakatishaji fedha linalowakabili washtakiwa wote watatu.

Hakimu Emillius Mchauru ameipanga kesi hiyo kuendelea kusikilizwa tena April 27, 2016 ambapo watuhumiwa wote watatu wamerudishwa rumande mpaka siku ya kusikiliza kesi hiyo.

Takukuru iliwafikisha vigogo hao katika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kuwashtaki kwa makosa nane, ikiwemo tuhuma za kujipatia fedha kiasi cha Dola za Marekani milioni 6, mwezi Machi mwaka 2013, ili kufanikisha mkopo kutoka Benki ya Stanbic kwenda serikalini.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS