MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

KUHUBIRI JUU YA MIGONGO YA WAUMINI… MCHUNGAJI AFUNGUKA
Mchungaji Berthania Simon akihubiri huku akiwa amepanda juu ya migongo ya waumini.Stori: Gabriel Ng’osha, UWAZI

DAR ES SALAAM: Yule mchungaji aliyezua gumzo kwenye mitandao ya kijamii hivi karibuni baada ya picha zake kusambaa zikimuonesha akiwa amesimama juu ya migongo ya baadhi ya waumini wake huku akihubiri, Berthania Simon, amefunguka kuhusu kitendo hicho, Uwazi limesema naye.
Mchungaji afunguka kisa cha kusimama kwenye migongo ya waumini.
Kisa hicho chahusishwa na nguvu za giza.

Adhaniwa kuwa Freemason.
Watu wamwendea kwenye vituo vya televisheni ili wamuanike kuhusiana na kisa hicho.
Huku wengine wakimtukana na kufedheheshwa….
Baadhi ya wachungaji wamuomba awaunganishe na Freemason.
“….kuna watumishi wa Mungu feki ambao wanatumia nguvu za giza kujipatia waumini wengi….” alisema Berthania.
Mchungaji amefunguka mengi kwenye Gazeti la Uwazi kuhusu kisa hicho.

0