Select Menu

News

USIKOSE JUMAPILI YA KUSHIKWA MKONO

USIKOSE JUMAPILI YA KUSHIKWA MKONO

MCH. BURTON SANGA

MCH. BURTON SANGA

JIFUNZE KIFARANSA

JIFUNZE KIFARANSA

TTCL

TTCL

GEPF

GEPF

VIGAE TANGAZO

VIGAE TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

AZAM TV

AZAM TV

RUMAFRICA NA HABARI ZA GOSPEL: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA Online MAGAZINE: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

Rumafrica. Powered by Blogger.

RUMAFRICA Online TV: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA: MATANGAZO: Bonyeza alama nyekundu

ELIMIKA NA RUMAFRICA

RUMAFRICA MTAANI

MLIMA WA MOTO ONLINE TV NA HABARI MBALIMBALI ZA MLIMA WA MOTO

RUMAFRICA VIDEO

» » MUNGU AZIDI KUMUINUA UPENDO JBRIDE MWAKYENGULA KATIKA NCHI ZA ULAYA


Sanga Rulea 12:06 AM 0

Upendo JBride Mwakyengula ni mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka Tanzania. Mungu amemtoa mbali sans katika huduma take him ya uimbaji, ni mapito mengi sans amepitia mpaka mahali hap a alipo. 
Upendo JBride Mwakyengula

Kinachomsaidia mwimbaji huyu katika mapito note ni imani take aliyoiweka kwa Mungu. Mwimbaji huyu ni mwimbaji jasiri na mwenye kujiamini na kuamini kile anachokiima, na watt wengi sana kupiti nyimbo zake wameweza kuokoka na wengine kupokea uponyaji wao. 
Mungu anamtumia kwa namna yake na ndio maana amekuwa akialikwa na nchi za Ulaya kwa huduma yake hii ya uimbaji. Kama Watanzania hatuna budi kumuombea mwimbaji huyu kwasababi amekuwa balozi wa kupeperusha bebdera ya Tanzania katika ulimwengu wa GOSPEL  nchi za Ulaya. 
Baada ya kimia kingi sasa Mungu amemuwezesha kutoa albamu yake ya Yahweh ambayo in a nyimbo za kumtukuza Mungu za Zuku, sebene, Kwaito, worship na style nyingi za uimbaji.

Rumafrica katika pita pita take mitandaoni ikabahatika kuona safari ya Upendo JBride katika nchi za Ulaya na jinsi akiwahudumia watu kwa njia ya uimbaji, na katika Facebook akauti take alikuwa ha haya ya kusema kwa wadau wake na wale anaofanya nap kazi ya Mungu 
"For all who prayed for me may the Lord bless you. We had a powerful African Revival Conference here in Edmonton Canada. Thank you Pastor Leonard & Lorie Rutten of Enjoy Life Church , Pastor Boniface and Happy Mgonja, Pastor Zephania&Ruth Ryoba, Mr.Tumaini & Rachel Mhehe ..and all , God bless you.
To God be the Glory for all He has done in Canada.‪#‎MissionAccomplished‬."Upendo Bride
`
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS