MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

IBADA YA KUTOKOSA YA KUFUNGULIWA KWAKO KATIKA KANISA LA MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B" JUMAPILI HII

Umeteseka vya kutosha lakini  Mungu bado anakupenda na Jumapili hii kutakuwa na maombezi ya kufunguliwa kwako katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B". Bishop Dr.  Gertrude Rwakatare na jopo la wachungaji wamejipanga kukusaidia wewe unayeteseka na wewe mwenye hamu ya kumjua huyu Mungu kwa undani zaidi. Ibada hii itaanza saa 3 asubuhi. 

Kuna kitu katika ulimwengu wa kiroho kitaenda kufanyika kwako. Jiandae vizuri sana wewe na jamii yako. Sauti ya Mungu inakuita, itika sasa na tii sauti hii kwani ni kwa manufaa yako na familia yako. Njoo upokee baraka za Mungu na kujifunza Neno la Mungu kutoka kwa watumishi wa Mungu. 
Ninaamini tutakuwa wote kanisani siku hiyo. Mungu akubariki sana


0