MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

MWIMBAJI WA GWT ALEX KISONGA (ALEX NABII) NDOTO YAKE ILIKUWA KUWA KOMANDOO

Alichokisema katika facebook akaunti yake, "Picha hii ilipigwa miaka ishiri iliyo pita nikiwa kidato cha pili shule moja ya boarding huko mkoani Iringa ndoto yangu kubwa ilikuwa nikujakuwa mlinzi wa nchi nilipenda sana kuwa komandoo niliebobea kiuchunguzi lakini ndoto yangu ilizimika baada kupata ajali nakuvunjika mguu wangu wakushoto punde tu nilipo takiwa kujiunga na jeshi la wananchi mwaka 2000. Nimshukuru mungu kumbe alikuwa ameniandalia kazi nyingine kubwa zaidi ya ile niliyo ipenda. Nakushukuru Mungu wa mbinguni kunifanya kuwa mtumishi wako."
 Enzi za kale
 Alex ndani ya GWT
 Alex kikzi zaidi
Alex wife
Alex-wanae

0