Select Menu

News

MTUME DR. PETER NYAGA

MTUME DR. PETER NYAGA

MCH. BURTON SANGA

MCH. BURTON SANGA

TTCL

TTCL

GEPF

GEPF

VIGAE TANGAZO

VIGAE TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

AZAM TV

AZAM TV

RUMAFRICA NA HABARI ZA GOSPEL: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA Online MAGAZINE: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

Rumafrica. Powered by Blogger.

RUMAFRICA Online TV: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA: MATANGAZO: Bonyeza alama nyekundu

ELIMIKA NA RUMAFRICA

RUMAFRICA MTAANI

MLIMA WA MOTO ONLINE TV NA HABARI MBALIMBALI ZA MLIMA WA MOTO

RUMAFRICA VIDEO

» » YOUTH NIGHT LIVE KUFANYIKA LEO NA ABEDNEGO & THE WORSHIPPERZ - ARUSHA


Sanga Rulea 9:18 AM 0


Youth Night Live kufanyika leo tarehe 22 mwezi wa nne 2016 katika ukumbi wa New Life Outreach
( Kwa Egon Sakina )

Youth Night live ni maalum kwa vijana kwaajili ya kuwamsha kiuwezo na akili zao pia kuwafanya waweze kuamka kiroho ili wawe chachu ya maendeleo ya kanisa na taifa kwa ujumla.

Imekuwa kwa vijana kwa sababu vijana ndio nguzo ya taifa na kanisa, vijana watarajie kubadilika na pia kukutana na Mungu, kutakuwa na maombezi maalum ya vijana katika sehemu mbalimbali za maisha yao na kuombea taifa kwa ujumla.Watakuwepo viongoozi wa serikali na wa kanisa pia maaskofu na wachungaji watakuwepo.

Walimu nao watakuwepo akiwemo Shemeji Melelayeki, Emmanuel Mkwaya, Fred Chavala na Filex Ntambara toka Uganda.

Vikundi vitakavyo hudumu katika usiku huu wa vijana watakuwepo Shangwe Voices, PCASF Praise Team, Rhema Worship Team, New Life Band na Abednego &The Worshipperz intl.

Tukio hili litarushwa live online radio ya Arusha Mambo FM unaweza kupakuwa(Download) Tunein kisha tafuta Arusha mambo.Kijana usipange kukosa usiku huu.

Bila kusahahu GK nao tukakuwepo kukuletea tukio zima.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS