RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION: DAVID ROBERT NDANI YA MAREKANI

David Robert akimtumikia Mungu kwa njia ya uimbaji, Mungu anazidi kumuinua katika huduma yake ya uimbaji. Jiandae kupata nyimbo mpya kutoka kwake. Utakuwa unajiuliza ni lini zitakuwa mitaani...wewe endelea kufuatilia "news"kupitia blog yetu ya Rumafrica 








Comments