RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

TAZAMA PICHA NA HABARI HII "UKIFIKA HAPO LAZMA MACHOZI YAKUTOKE"

SOUNCE GOSPELKITAA: AMBWENE MWAMWAJA

Wakati wa sikukuu ya pasaka waimbaji walikuwa katika huduma mbalimbali, ndani na nje ya nchi. Kwaya ya vijana Kijitonyama ya jijini Dar es salaam kwa upande wao walikuwa jijini Arusha kwa huduma. Pamoja na kutoa huduma kanisani pia walitembelea kituo cha watoto yatima ambacho kwa hali waliyoikuta ndipo wakatoa maneno tuliyoweka kama kichwa cha habari hii, jisomee.......

"Hiki ni kituo cha kulea watoto yatima...kiko nje kidgo ya mji wa Arusha..kina watoto zaidi ya 200 kati yao zaid ya 30 ni waathirika wa ukimwi,zaid ya 80 wana matatizo ya utindio wa ubongo,wengine ambao wametoka katika mazingira hatarishi kuna waliookotwa kwenye vyoo kuna waluotupwa majalalani...mmiliki wa kituo hiki aliamua kuchukua hatua ya kuhifadhi hawa watoto pale alipogundulika Biologically hawezi kupata mtoto...UKIFIKA HAPO LAZMA MACHOZI YAKUTOKE..Tunamshukuru Mungu tulipata kushirikiana nao Sikukuu ya pasaka pamoja kwa vile vichache Mungu alivyotujalia"...
@KYC the dreAm teAm..








- See more at: http://www.gospelkitaa.co.tz/2016/04/tazama-picha-na-habari-hii-ukifika-hapo.html#sthash.EgkEWcA1.dpuf

Comments