RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

UMESHAFIKA KATIKA MJI WA KIGAMBONI YA SASA ?

AVIC Town ni mji unaoendelea kujengwa huko Kigamboni na kampuni ya AVIC International Holding Corporation (AVIC INTERNATIONAL) , moja ya kampuni 500 kubwa duniani huku ikiwa na uwekezaji wa dola za kimarekani milioni 800 kujenga nyumba za makazi ya watu .

Pia wanajenga miji ambayo itakua na majengo ya biashara na majengo mengine kwa ajili ya kila aina ya burudani . Mji huu unajengwa Kigamboni ambayo tayari serikali ishaweka mipango ya kuufanya kua mji wa pili ukiacha Dar City Center.

Hadi kufikia sasa , tayari sehemu ya kwanza ya ujenzi imekamilika . Geti kubwa , Landscape Avenue na baadhi za nyumba tayari zimeshaonyeshwa kwa wananchi .

Comments