Select Menu

News

MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B" JUMAPILI HII

MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B" JUMAPILI HII

MTUME DR. PETER NYAGA

MTUME DR. PETER NYAGA

MCH. BURTON SANGA

MCH. BURTON SANGA

TTCL

TTCL

GEPF

GEPF

VIGAE TANGAZO

VIGAE TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

AZAM TV

AZAM TV

RUMAFRICA NA HABARI ZA GOSPEL: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA Online MAGAZINE: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

Rumafrica. Powered by Blogger.

RUMAFRICA Online TV: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA: MATANGAZO: Bonyeza alama nyekundu

ELIMIKA NA RUMAFRICA

RUMAFRICA MTAANI

MLIMA WA MOTO ONLINE TV NA HABARI MBALIMBALI ZA MLIMA WA MOTO

RUMAFRICA VIDEO

» » WACHUNGAJI WAWILI NA MUUMINI MMOJA WAFARIKI KATIKA AJALI YA GARI


Sanga Rulea 11:49 PM 0Wachungaji wawili wa kanisa la FPCT, na mshirika mmoja wamefariki na wengine wanne kujeruhiwa katika ajali ya gali aneo la Mabama wilayani Uyui walipokuwa wakisafiri kutoka Mishamo wilayani Mpanda mkoani Katavi, wakielekea jijini Mwanza katika mazishi ya mchungaji wao kiongozi.
Akiongea na kituo cha ITV katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Tabora Kitete, mchungaji Banyiyezako Serestini, majeruhi, amewataja marehemu kwa majina ya mchungaji Ndezimana Sefania, na mchungaji Pili Simion, na mshirika ambaye hakufanikiwa kumkumbuka jina mara moja ambaye amefariki hakiwa hospitalini.

Aidha akiongea kwa masikitiko askofu wa jimbo la Tabora Mhashamu Issaya Ilumba amewataka madreva kuwa waangalifu wanapokuwa wanawaendesha viongozi mbalimbali na si kanisa hilo bali taifa zima kuwa waangalifu kuepusha ajali. 

Ajali hiyo imetokea majira ya saa tisa na nusu 21/04, baada ya gurudumu la mbele kushoto, la gali aina ya Toyota Prado lenye namba za usajili TNA kupinduka mara mbili na kusababisha vifo viwili papo hapo na mmoja katika hospitali ya rufaa ya Kitete Tabora.

Source: Gospel Kitaa

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS