RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

RAIS MAGUFULI KAFANYA UTEUZI MWINGINE LEO MAY 25 2016..


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt,. John Pombe Magufuli amemteua Waziri Mkuu Mstaafu Mh.Mizego Pinda kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania(OUT).

Mheshimiwa Mizego Pinda anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Balozi Dkt.Asha-Rose Mtengeti Migiro ambaye ameteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Uingereza.

Taarifa iliyotolewa leo Mei 25, 2016 na katibu mkuu kiongozi Balozi John Kijazi imeeleza kuwa uteuzi wa Mheshimiwa Pinda unaanza mara moja.