TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

EXCLUSIVE: BISHOP DR. GERTRUDE RWAKATARE ATABIRI MAMBO MAZITO MWEZI HUU WA MEI 2016. TUMSIKILIZE

Bishop Dr. Gertrude Rwakatare ametangaza kuwa mwezi huu wa Mei 2016 utakuwa ni mwezi wa mafuriko, habari njema na kicheko. Kwa wale waliolia sana wataenda kupokea kicheko na kwa wale waliohagangaika wanaenda kupokea mafanikio. Ni mwezi wa watu kupokea baraka kutoka kwa Mungu, ni mwezi wa kurejeshewa vilivyopotea. Pia aliwaomba watu kufunga kwa siku tano bila kula kuanzia Jumatattu 1 hadi Ijumaa 5 2016 wakiomba na kumkabidhi Mungu mwezi huu wa tano. Utabiri huu aliutoa katika ibada ya Jumapili 31.01.2016 katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" jijini Dar es Salaam Tanzania.