FAMILIA YA BISHOP DR. GERTRUDE RWAKATARE YAFANYIWA MAOMBI SIKU YA JUMAPILI MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"

Familia ya Bishop Dr. Gertrude Rwakatare siku ya Jumapili 31.04.2016 iliweza kuombewa katika madhabahu ya Mlima wa Moto Mikocheni "B". Wachungaji, watumishi wa Mungu na kanisa zima waliweza kuonyoosha mikono yao kuelekea madhabahu ambako famili hii ilikuwepo na kuweza kuwaombea. Na hivi ndivyo ilivyokuwa:-