MAMBO YA KUZINGATIA KABLA YA KUANZA UCHUMBA.


1. Usiokubali kuwa katika uhusiano na mtu usiyemjua. (a stranger).
2. Usikubali kujenga mahusiano ya kina na mtu ambaye umemjua kwa muda mfupi sana.
3. Usichumbiane na kuoana na mtu uliyemjua kwa mitandao hata kama mmejuana kwenye mtandao kwa miaka mingi.
4. Muda muafaka wa kuoana na mtu, ni yule mliyefahamiana kwa angalau mwaka mmoja na sio chini ya hapo.
5. Uchumba pia ukikaa kwa muda mrefu kupita kiasi ni tatizo, uchumba usizidi urefu wa zaidi ya miaka minne.