MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

PICHA ZA SENDOFF YA RACHEL MMASSY WAKATI WA KUINGIA UKUMBINI

Rachel Mmassy ambaye ni mwimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania siku ya Jumanne 10.05.2016 aliweza kufanyiwa Sendoff katika ukumbi wa King Paris uliopo Sinza Legho jijini Dar es Salaa Tanzania. Sherehe hii ilihudhuriwa na waimbaji kutoka Chama cha Muziki wa Injili Tanzania (CHAMUITA), wachungaji, waimbaji binafsi, mablogaz na watu wengi kutoka Kenya na hapa Tanzania. Mume mtarajiwa Bwana Thobis Bisengo ambaye ni mkazi wa Kenya aliwashukuru Watanzania kwa wema wao na kuweza kufika katika event yao.
 Rachel Mmassy (kulia) na mume wake mtarajiwa Bwana Thobias Bisengo (kushoto)