MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

SIR MBEZI A TANZANIAN CHRISTIAN RAPPER AJA NA “MAISHA YA WOKOVU”Kwa mara ya Kwanza ilikuwa mwaka 2012 ambapo Christian Dj nchini Dj Gee Maarufu ndipo aliniambia uwezo alionao Aloyce Samuel Mbezi ama Sir Mbezi kama ajulikanavyo kwa wengi.Gee kwa sauti yake ndogo akasema kaka kuna mabwana wadogo wako na Rungu(Mwanamuziki wa Gospel Hiphop) Hope na Mbezi huko mbeleni watafika mbali. Nakumbuka miaka hiyo walikuwa wako O’ level na kwa sasa wako chuo.

Tarehe 25 May 2016 Sir Mbezi so amazing ameachia nyimbo yake inayoitwa Maisha ya Wokovu aliyomshirikisha swahiba wake aitwaye Hope ama Chief Hope.Humo ndani kupitia Hip Hop Mbezi ameelezea Safari ya Muamini KATIKA WOKOVU.Mbezi ameainisha vikwazo na mabonde ambayo Mkristo anakutana nayo maishani na nini afanye ili kushinda vikwazo hivyo.