UTANI WA MASANJA, HII NDIO NJIA ANAYOSUBIRI ILI AGOMBEE TENA UBUNGE‬


Emanuel Mgaya a.k.a Masanja Mkandamizaji ni Msanii wa muziki na maigizo tokea long time, leo nakukutanisha naye katika Exclusive interview na AYO TV akitania kuhusu mpango wake wa kurudi tena kugombea nafasi ya Ubunge.
Huyu hapa kwenye dakika zake mbili za kucheka…