Kuanzia tarehe 23/6/2016 mpaka 26/6/2016 jijini Mwanza kulifanyika mkutano mkubwa wa Injili ambapo Muinjilist Daniel Kolenda alikua akihudumu.Toka maadalizi ya mkutano huo Hosanna kwanza ilikuwa ikikujuza NINI Kilikuwa kikiendelea na baada ya kukuonyesha picha za mkutano huo hapa tumekuletea video mbalimbali za mkutano huo.