Select Menu

News

IJUMAA HII MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"

IJUMAA HII MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"

MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B" JUMAPILI HII

MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B" JUMAPILI HII

MTUME DR. PETER NYAGA

MTUME DR. PETER NYAGA

MCH. BURTON SANGA

MCH. BURTON SANGA

TTCL

TTCL

GEPF

GEPF

VIGAE TANGAZO

VIGAE TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

AZAM TV

AZAM TV

RUMAFRICA NA HABARI ZA GOSPEL: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA Online MAGAZINE: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

Rumafrica. Powered by Blogger.

RUMAFRICA Online TV: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA: MATANGAZO: Bonyeza alama nyekundu

ELIMIKA NA RUMAFRICA

RUMAFRICA MTAANI

MLIMA WA MOTO ONLINE TV NA HABARI MBALIMBALI ZA MLIMA WA MOTO

RUMAFRICA VIDEO

» » ‘ANYANG’ANYWA U-DC SEKUNDE YA MWISHO IKULU’


Sanga Rulea 4:51 AM 0


Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimezikusanya na waweza kuzipitia hapa chini moja baada ya nyingine.

Moja ya stori ni hii kwenye gazeti la Nipashe yenye kichwa cha habari ‘Anyang’anywa U-DC sekunde ya mwisho Ikulu’
Gazeti la hilo limeripoti kuwa aliyekuwa mteule wa ukuu wa wilaya, Emile Ntakamulengaalipata taarifa sekunde za mwisho kabla ya kula kiapo cha maadili cha kutumikia wadhifa wa mkuu wa wilaya ya Serengeti, kuwa uteuzi wake ulitangazwa kimakosa.

Gazeti hilo limesema kuwa baada ya kukabidhiwa nakala za viapo kila mmoja akiwemoNtakamulenga, sekunde chache kabla ya kuapa na kusaini viapo hivyo, ndipo zilipokuja taarifa mbaya kwa mteule huyo .

Nipashe limeendelea kueleza kuwa wakati kukiwa na utulivu wa hali ya juu kwenye ukumbi huo , ndipo kamishna wa tume ya maadili ya utumishi wa umma, Jaji mstaafuSalome Kaganda, alipotangaza kwamba kuna marekebisho ya wateule ambayo yamefanyika.

Jaji Kaganda alisema katika uteuzi huo jina la Ntakamulenga liliingia kimakosa hivyo nafasi yake imechukuliwa na Nurdin Hassan Babu ambaye kwenye orodha iliyotolewa na Ikulu June 26 2016 hakuwepo.

Unaweza kuzipitia hapa chini habari nyingine kubwa kwenye magazeti ya leo June 30 2016

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS