Select Menu

News

MTUME DR. PETER NYAGA

MTUME DR. PETER NYAGA

MCH. BURTON SANGA

MCH. BURTON SANGA

TTCL

TTCL

GEPF

GEPF

VIGAE TANGAZO

VIGAE TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

AZAM TV

AZAM TV

RUMAFRICA NA HABARI ZA GOSPEL: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA Online MAGAZINE: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

Rumafrica. Powered by Blogger.

RUMAFRICA Online TV: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA: MATANGAZO: Bonyeza alama nyekundu

ELIMIKA NA RUMAFRICA

RUMAFRICA MTAANI

MLIMA WA MOTO ONLINE TV NA HABARI MBALIMBALI ZA MLIMA WA MOTO

RUMAFRICA VIDEO

» » DAVID CAMERON AJIUZULU


Sanga Rulea 7:21 AM 0


Waziri Mkuu wa Uingereza, David Cameron ametangaza kujiuzulu wadhifa huo baada ya Uingereza kupiga kura ya kujitoa rasmi kwenye Umoja wa Ulaya (EU).

Cameron ametangaza uamuzi huo wakati akitoa hotuba yake ambapo amesema Uingereza inahitaji uongozi mpya.

Itachukua miezi mitatu kuandaa serikali ijayo.

Wakati hayo yakitokea, Paundi ya Uingereza yaanguka dhidi ya dola ya Marekani baada ya kura ya kujitoa EU, anguko hilo halijapata kutokea tangu mwaka 1985.

Matokeo yaonesha asilimia 52% ya Waingereza wamepiga kura kutaka kujitoa katika Umoja wa Ulaya huku 48% wakitaka kubaki katika umoja huo

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS