MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

DUBE BROTHERS KUSHIRIKI KWENYE SPIRIT OF PRAISE VOLUME 6

Kundi maarufu la muziki wa injili kutoka nchinbi South afrika DUBE brothers litakuwa ni moja kati ya makundi ambayo yanatarajia kuwemo kwenye Live Recording ya SPIRIT OF PRAISE VOLUME 6.DVD Hiyo kwa sasa inatarajiwa kurekodiwa Live mnamo tarehe 30.6/2016 nchini Afrika ya Kusini.Dvd za Spirit of Praise ambazo hujumuisha wanamzukiki mbalimbali wa Muziki wa Injili nchini humo na kuunda kundi moja liitwalo Spirit of Praise,Spirit of Praise karibu kila mwaka wamekuwa wakitoa DVD.

Hii sio mara ya kwanza kwa Dube Brothers kuwemo kwenye SPIRIT OF PRAISE DVD’s, Dube Brothers ni kundi la familia moja inshort huundwa na watoto wa Mfalme wa Gopsel Music nchini humo Benjamin Dube na wanae watatu.