FLORA ASHUHUDIA KUPATA MTOTO BAADA YA KUINGIA KATIKA KISIMA CHA BETSAIDA MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"

Dada Flora siku ya Jumapili 29.05.2016 aliweza kufika katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" na kushuhudia jinsi Mungu aliweza kusikiliza kilio chake cha muda mrefu cha kupata mtoto baada ya kuingia katika kisima cha Betsaida mwaka jana 2015 kilichokuwepo hapo kanisani.