RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

HAKIKA MUNGU ANASTAHILI KUINULIWA, MSIKIENI HUYU MTUMISHI SONNIE BADU NA WIMBO WAKE "IMANI"



Sonnie Badu kwa sasa anaaminika ndiye the Most Successful African GOSPEL Artist kwa maana ya kihuduma na kifedha, mwanamuziki huyu raia wa Ghana mwenye makazi yake nchini Marekani mwanzoni mwa mwaka huu alitoa nyimbo yake mpya iitwayo IMANI.Nyimbo hii yenye mchanganyiko wa lugha ya Kiswahili na kiingereza inaanza kwa Sonnie akitoa tafsiri ya Neno Imani Kisha anaendelea.Kwa ukanda wa Afrika Mashariki kwa yeyote atayeisikia nyimbo hii atagundua mwanamuziki huyu katumia nyimbo maarufu ya kuabudu UNASTAHILI KUABUDIWA na ameifanyia Modifications.



Kitendo cha nguli huyu kuamua kuimba kwa lugha ya Kiswahili kwa upande wake kinatanua wigo wa wa wapenzi wa muziki wake, hivyo kinampa fursa aweze kupenya katika Ukanda huu wa Afrika mashariki na kati ambako ndiko Kiswahili kinatumika kwa sehemu kubwa.Njia hii tumeona ikimsaidia Solly Mahlangu kupenya ukanda huu na kitendo hiki cha Sonnie Badu kuimba nyimbo ya Kiswahili bila shaka kitamsogeza karibu kwa wana East Afrika.

Angalia wimbo huo pamoja na Lyrics zake hapa chini

Lyrics

I will sing a song

Song of praise to You

For You’ve been so good

So good to me

Naa nananana Naa nananana

Naa nananana Naa nananana

Unastahili Kuabudiwa

Unastahili Yewesu

Unastahili Kuabudiwa

Unastahili eee

I will write a song

Song of thanks giving

For his mercies endureth

(endureth forever)

I will dance for him

A dance of gratitude

For he’s brought me out

Of the Mary clay

Naa nananana Naa nananana

Naa nananana Naa nananana