Select Menu

News

USIKOSE IJUMAA HII MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"

USIKOSE IJUMAA HII MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"

MLIMA WA MOTO JUMAPILI HII

MLIMA WA MOTO JUMAPILI HII

SARAH KUZINDUA ALBAM YAKE JUMAPILI HII

SARAH KUZINDUA ALBAM YAKE JUMAPILI HII

MCH. BURTON SANGA

MCH. BURTON SANGA

TTCL

TTCL

GEPF

GEPF

VIGAE TANGAZO

VIGAE TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

AZAM TV

AZAM TV

RUMAFRICA NA HABARI ZA GOSPEL: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA Online MAGAZINE: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

Rumafrica. Powered by Blogger.

RUMAFRICA Online TV: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA: MATANGAZO: Bonyeza alama nyekundu

ELIMIKA NA RUMAFRICA

RUMAFRICA MTAANI

MLIMA WA MOTO ONLINE TV NA HABARI MBALIMBALI ZA MLIMA WA MOTO

RUMAFRICA VIDEO

» » KUTANA NA EDWIN BRUNO, KIJANA MWINGINE WA TANZANIA ALIYETAJWA FORBES


Sanga Rulea 11:37 AM 0


May 28 2016 alianza kutajwa Mrembo Mtanzania ambaye ni Miss Universe Tanzania 2010 Hellen Dause kuwa miongoni mwa Wajasiriamali 30 wa Afrika wenye umri chini ya miaka 30 ambao wanatarajiwa kuwa Mabilionea wa kesho kutokana na kupambana kuzisaka noti kwa kujituma na ubunifu.

Sasa mwingine ni Mtanzania Edwin Bruno ambaye naye yumo kwenye hii list yenye majina kutoka Afrika kwenye nchi kama Zimbabwe, Kenya, Nigeria, Madagascar na Gambia ambapo wanatarajiwa kuwa mabilionea wataotoa ajira kwa maelfu ya watu baadae.

Hellen

Edwin ni mwanzilishi wa kampuni iitwayo Smart Codes, ni kampuni inayohusika na kununua matangazo na kuwezesha biashara za kampuni nyingine kuonekana kwenye Mtandao kupitia matangazo hayo ya kwenye Social Media, website n.k kwa bei nafuu na kwa njia iliyosahihi zaidi kwenye teknolojia ya sasa.

Baada ya kutajwa kwenye hii list Edwin anasema ‘Nimefurahia nafasi hii ya kipekee, mimi na timu yangu tumekua tukifanya kazi usiku na mchana kuleta suluhisho kwa Wateja wetu, tumejinyima usingizi kwa muda mrefu kufanikisha na kufikia tulipo‘

Edwin na kampuni yake mwaka jana walishinda tuzo na ubunifu wao kutambuliwa kimataifa baada ya kubuni APP ya M-PAPER ambayo inamuwezesha mtu kusoma magazeti ya kila siku kupitia mtandao na kulipia nusu bei kuanzia kwenye kurasa za mwanzo, ndani na mwisho kwa kutumia computer au simu ya mkononi.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS