RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MARRIAGE REVIVAL DINNER PARTY 2018

MARRIAGE REVIVAL DINNER PARTY 2018

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

MWANAMUZIKI SHEDRACK ROBERT AFUATA NYAYO ZA SHUSHO,YUKO NCHINI SOUTH AFRICA AKISHOOT VIDEO YAKE MPYA

Mwanamuzki mahiri nchini Shedrak Robert kutoka jijini Arusha amefuata nyayo za mwanamama Christina Shusho kwa kuamua kubadilisha upepo na kufunga safari mpaka nchini Afrika ya kusini kwa Lengo la kushoot Video. kwa Shedrak sasa yuko nchini Afrika ya kusini akishoot Video ya wimbo wake mpya, Shedrak anafanya kazi hii chini ya Director Emmanuel Nunu Mack wa Infinity Video Film.

Hizi habari ni afya njema kwa wanamuziki wa Injili nchini kwa kuamua kuboresha kazi zao na kuinvest kwenye huduma zao.Hapo awali mwanamama Christina Shusho naye alifunga safari mpaka nchini humo na kushoot video ya wimbo wake wa UMENIFANYA NING’ARE.Angalia picha za kazi hiyo ya Shedrak kwa


Picha na Bro John Pazia.