RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MARRIAGE REVIVAL DINNER PARTY 2018

MARRIAGE REVIVAL DINNER PARTY 2018

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

NTONTO E. KANUNGA AMEAMUA KUFUNGUKA NA KUELEZEA ANACHOKIJUA JUU YA UBORA WA PRAISE POWER RADIO NA JINSI ANAVYOMJUA BISHOP DR. GERTRUDE RWAKATARE

Mwimbaji wa nyimbo za Injili Ntonto Kanunga aliweza kufika katika ofisi za Rumafrica Bamaga Kijitonyama jijini Dar es Salaam na kuweza kueleza ya moyoni juu ya kituo bora cha radio cha Praise Power radio 99.3FM kilichopo Mikocheni "B" jijini dar es Salaam. 
Akiongea na crew ya Mlima wa Moto TV aliweza kuyazungumza mengi ambayo utayasikia katika clip yake hapo chini. Na pia aliweza kupata muda wa kumzungumzia mbeba maono wa kituo hicho Bishop Dr. Gertrude Rwakatare. Tumsikilize sasa