RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

VIDEO: LEO JUNE 1 2016 NI BIRTHDAY YA CHICHARITO, ANGALIA TOP 5 YA MATUKIO YAKE YA KUKUMBUKWA


Javier Hernandez maarufu kama Chicharito sio jina geni masikioni mwa wapenda soka hasa wa Ligi Kuu Uingereza, kwani wanamkumbuka kwa kuichezea Man United kwa miaka mitano kabla ya 2015 kuamua kujiunga na Bayer Leverkusen ya Ujerumani,Chicharito ni moja kati ya wachezaji waliokuwa wanafanya vizuri ndani ya Man Unitedkabla ya kuondoka kwa Sir Alex Ferguson.

Mtu wangu wa nguvu kama unasherehekea Birthday yako leo June 1 2016, basi jua unasherehekea na staa huyo wa soka duniani, naomba nikusogezee TOP 5 ya matukio yake ya kukumbukwa akiwa na klabu ya Bayer Leverkusen ya Ujerumani leo June 1 2016 akiwa anasherehekea kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa.