WABUNGE WENGINE WATATU WAMESIMAMISHWA LEO, YUPO JOSEPH MBILINYI ‘SUGU’

June 30 2016 bunge limetangaza kuwasimamisha wabunge wawili wa CHADEMA,Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi ‘SUGU’ na Saed Kubenea mbunge wa Ubungo kwa makosa tofauti ikiwemo kulidanganya bunge.