MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

GOSPOMEDIA AWARDS 2016 On THE WAY

GOSPOMEDIA inakuja na hii Kaa tayari mwana wa Mungu kuona gospomedia kuwa tovuti ya pekee kutoa tuzo kwa waimbaji wa Injili Tanzania na Afrika mashariki .... Barikiwa waimbaji wote walioweka nyimbo na video zao kwenye tovuti hii ya gospomedia.com Barikiwa waimbaji wote waliofanya vizuri kupitia Kumi Bora zinazotoka kila Mwezi pia Barikiwa wadau na Mashabiki wetu wote walishiriki kwa namna moja ama nyingine katika kuwapa sapoti waimbaji wetu wa nyimbo za Injili . ‪#‎GospelMusicPromotion‬ ‪#‎GospoMediaAwards‬