MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

MKESHA WA AFLEWO 2016 WAFANA,ANGALIA PICHA ZA TUKIO ZIMA HAPA


Africa Lets Worship(AFLEWO) ni mkesha maalumu wa kusifu na kuabudu unaofanyika kila mwaka hapa nchini pamoja na nchi za afrika mashariki zikiwemo Rwanda,Kenya,Burundi na Uganda.Kwa mwaka huu wa 2016 mkesha huu ulifanyika siku ya ijumaa ya tarehe 8.7.2016 katika kanisa la City Christian Centre lililoko Upanga jijini Dar es salaam.

Tamasha hili liligusa miyo ya wengi huku Mass Choir iliyoundwa kutoka waimbaji wa makanisa mbalimbali ikihudumu.Hosanna Kwanza kwa niaba ya Sebastian Creative inakuletea picha mbalimbali za tukio hilo.
Viongozi wa AFLEWO Pastor Safari Paul na Pastor Deo Lubala
Dr Ona Machangu akiwa Madhabahuni
Sehemu ya Hadhira a
Praise Team
Dr Ona Machangu akiimba
Pastor Deo Lubala Uweponi
Hadhira

Mass Choir

Team

Mw

Pastor Deo Lubala

Mwanamuziki Bale akiwa anatembea na Chords