MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

PICHA 7: ILICHOKIAMUA MAHAKAMA KUU TANGA KUHUSU KESI YA UBUNGE WA JUMAA AWESOJuly 28 2016, Mahakama kuu kanda ya Tanga ilitangaza maamuzi rasmi ya kesi ya kupinga matokeo ya Ubunge iliyokuwa ikimkabili Mbunge wa Pangani Jumaa Aweso waChama cha mapinduzi (CCM) iliyofunguliwa na mbunge wa chama cha wananchi(CUF) Amina Mwidau.

Kwa mujibu wa Mahakama hiyo kupiti kwa jaji Patricia Fikirini imesema kuwa ushahidi uliotolewa na upande wa mlalamikaji haukuweza kujitosheleza na hivyo kuamuru Jumaa Aweso kuwa ndiye mbunge halali wa jimbo la Pangani.
Mbunge Jumaa Aweso akiwashukuru wananchi wake
Jumaa Aweso baada ya mahakama kutangaza ushindi wake


Mbunge Jumaa Aweso akiwa amebebwa na wananchi wake