SHILO TANZANIA

SHILO TANZANIA

SHILO TANZANIA 2017

PICHA KALI: MWIMBAJI WA GOSPO KUTOKA IRINGA EUNICE MTAVANGU ANAYEPENDA KUWA NATURAL HUYU HAPA

Mwimbaji wa nyimbo za Injili ambaye anaonekana kuonekana natural, na sio mtu wa kufanya ma-make-up sana, hivi karibuni ameachia audio yake inayoienda kwa jina la ASANTE YESU. Hakika ukisikiliza nyimbo hii itakubariki kutokana na ujumbe uliomo na pia muziki ulivyoandaliwa.  Mwimbaji huyu ambaye amekuwa akisistiza watu kumshukuru Mungu kwa kila hatua wanayopitia na wasiwe watu wa kumsahau Mungu.
Unaweza kuwasiliana na mwimbaji huyu kwa 
Simu: +255 718 985 615
Facebook: eunicemtavangu
Instagram: eunicemtavangu


 


SHILOH TANZANIA 2017

SHILOH TANZANIA 2017