TANZIA: GLORIA MULIRO AFIWA NA BABA YAKE MZAZI


Gloria na marehemu baba yake, David Muliro ©Fb/Gloria Muliro

Muimbaji wa nyimbo za Injili nchini Kenya, Gloria Muliro amepatwa na pigo maishani baada ya kufiwa na baba yak mzazi, GK imefahamishwa.

Muimbaji huyo ambaye anajiandaa na mzunguko (tour) wa Twende Jerusalem na GoTell kuanzia tarehe 1-7 Agosti kisha kuunganisa mzunguko mwingine, ameandika taarifa hizo kupitia ukurasa wake wa Facebook, akieleza kusikitishwa na taarifa hizo Jumamosi ya tarehe 9 Julai.

Source: GospelKitaa