MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

USIKOSE TAMASHA LA MAOMBEZI KATIKA KANISA LA MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B" SIKU YA JUMAPILI 31/07/2016

Tamasha hili litaambatana na kuvunja ngome za Shetani na kuharibu kazi zake. Walete watu wenyeshida mbalimbali nao watafunguliwa. Bishop Dr. Gertrude Rwakatare na jopu la wachungaji wamejiandaa kukuombea ili ufunguliwe katika vifungo vya adui Shetani na Mungu mwenyewe atakuweka huru. Ibada itaanza saa 3 asubuhi hadi mchana Mungu akubariki.
Tembelea: www.mountainoffire.blogspot.com