MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

VIDEO: JAMAA ALIYEFUNGA GOLI BORA LA DUNIA 2015, KAAMUA KUSTAAFU SOKA
Mshindi wa tuzo ya goli bora la dunia kwa mwaka 2015 Wendell Lira ambaye ni raia wa Brazil ametangaza kustaafu soka akiwa na umri wa miaka 27, umri ambao kwa kawaida ilitakiwa awe anaendelea kucheza soka ila kutokana na kuandamwa na majeruhi ameamua kutangaza kustaafu soka na kujikita zaidi katika biashara za game.


Wendell Lira alishinda tuzo ya goli bora la dunia 2015 na kupewa tuzo hiyo January 2016 katika utowaji wa tuzo ya mchezaji bora wa dunia Ballon d’Or, baada ya kufunga goli kwa style ya kipekee ya acrobatic katika mchezo dhidi ya Atl├ętico-GO, baada ya kushinda tuzo hiyo Wendell alijiunga na Club Vila Nova ya kwao Brazil lakini alishindwa kufunga goli lolote katika mechi 9 alizocheza.

Video ya magoli ya mechi ya Yanga vs Medeama SC July 16 2016, Full Time 1-1


Video ya magoli ya mechi ya Yanga vs Medeama SC July 16 2016, Full Time 1-1