RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

VIDEO: MANENO YA JK KWA WALIOSEMA CHAMA KINGEMFIA

Rais mstaafu wa Tanzania katika awamu ya nne Dk. Jakaya Kikwete amezungumza mbele ya wanachama wa chama cha mapinduzi CCM wakati akitangaza kumkabidhi rasmi uenyekiti wa chama hicho Rais John Pombe Magufuli ambapo Kikwete amesema wapo watu walikuwa wakiongea kuwa chama kingemfia mikononi.