MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

HALI ILIVYOKUWA WAKATI WA KUPATWA KWA JUA RUJEWA

Jua lilivyokuwa likionekana kupitia miwani maalum ya kuchuja mionzi ya jua mjini Rujewa wilayani Mbarali mkoani Mbeya.


Raia wa nchi mbalimbali wakishuhudia kupatwa kwa jua kwa kutumia vifaa maalum vya kuchuja mionzi ya jua katika mji wa Rujewa wilayani Mbarali mkoani Mbeya leo.


Baadhi ya wananchi wakishuhudia kupatwa kwa jua katika mji wa Rujewa wilayani Mbarali, mkoani Mbeya.

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla na Mkuu wa Mkoa wa Songwe Luteni Mstaafu Chiku Galawa wakishuhudia kupatwa kwa jua katika mji wa Rujewa wilayani Mbarali mkoani Mbeya , jua lilipatwa kuanzia saa 4:15 hadi saa 7:00.