Select Menu

News

IJUMAA HII MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"

IJUMAA HII MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"

MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B" JUMAPILI HII

MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B" JUMAPILI HII

MTUME DR. PETER NYAGA

MTUME DR. PETER NYAGA

MCH. BURTON SANGA

MCH. BURTON SANGA

TTCL

TTCL

GEPF

GEPF

VIGAE TANGAZO

VIGAE TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

AZAM TV

AZAM TV

RUMAFRICA NA HABARI ZA GOSPEL: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA Online MAGAZINE: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

Rumafrica. Powered by Blogger.

RUMAFRICA Online TV: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA: MATANGAZO: Bonyeza alama nyekundu

ELIMIKA NA RUMAFRICA

RUMAFRICA MTAANI

MLIMA WA MOTO ONLINE TV NA HABARI MBALIMBALI ZA MLIMA WA MOTO

RUMAFRICA VIDEO

» » MAMA ELIAKUNDA MWINGIRA ATOA UJUMBE MZITO WA KUINUA IMANI YAKO


Sanga Rulea 3:26 AM 0

Warumi 12:6- 21” Basi kwa kuwa tuna karama zilizo mbalimbali, kwa kadiri ya neema mliyopewa; ikiwa unabii, tutoe unabii kwa kadiri ya imani; ikiwa huduma, tuwemo katika huduma yetu; mwenye kufundisha, katika kufundisha kwake;........”

Kila mmoja amepewa kipawa chake na Mungu, kila aliyenacho anatakiwa kukitendea kazi sawasawa na vile alivyopewa na kufanya kwa bidii na sio kwa ulegevu, usimlipe mtu ovu kwa ovu au ubaya kwa ubaya bali ufanye kila jambo kwa kuonyesha UTUKUFU kwa MUNGU. Katika kila kipawa ulichopewa fanya kwa bidii kwa kuwa hujajipa wewe mwenyewe bali yuko aliyekupa.
Kila ufanyalo ufanye kwa UTAKATIFU kwa kuwa hakuna aliyebora kuliko mwingine wala usijihesabie haki. Katika yoote tuyafanyayo tukipendana sisi kwa sisi tutaushinda ubaya.
Mungu peke yake ndiye anastahili kuhukumu kwa kuwa Mungu hayuko kwa ajili ya ubaya ila kwa UPENDO usihukumu kwa kuwa jukumu hilo ni la Mungu peke yake.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS