SHILO TANZANIA

SHILO TANZANIA

SHILO TANZANIA 2017

MESS JACOB CHENGULA APATA CHETI CHA HESHIMA NCHINI CONGO

Mess Jacob Chengula ni mwimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania, anayeishi jijini Dar es Salaam. Mwimbaji huyu hivi karibuni alizindua DVD yake aliyemshirikisha Upndo Nkone inayoitwa "Moyo Wangu Hauna Woga". Mungu ameweza kumpa kibali cha kuweza kufanya huduma yake chini Congo na aliweza kuzawadiwa cheti cha heshima, na hivi ndivyo alivyosema, "Jana serikali ya DRC Congo Imenifanyia supraiser ya Kunipa cheti cha Heshima kutambua Mchango mkubwa katika mkutano Ambao umemalizika Jana Asante kwa Maombi yako Huduma ilikuwa kubwa sana Mwanzo mwisho"
SHILOH TANZANIA 2017

SHILOH TANZANIA 2017