RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MUSIC VIDEO+AUDIO: MBUVI-NO MORE



Kutoka nchini kenya leo kupitia tovuti yako pendwa ya gospomedia.com tunaitambulisha video ya wimbo mpya kutoka kwa mwimbaji mahiri wa nyimbo za Injili kutoka kenya na huyu si mwingine bali ni MBUVI video hii inaitwa NO MOREikiwa imefanywa na Still Alive video production na wimbo ukiwa umetengenezwa ndani ya studio ya Still Alive Recordsiliyopo jijini nairobi Kenya, Karibu na hakika utabarikiwa.