RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MARRIAGE REVIVAL DINNER PARTY 2018

MARRIAGE REVIVAL DINNER PARTY 2018

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

VIDEO: BAHATI BUKUKU AELEZA KWA NINI KOLABO YEYE NA AMBWENE MWASONGWEStar wa muziki wa Gospel Bahati Bukuku amefunguka na kueleza kwa nini wamefanya albam yeye na Ambwene Mwasongwe. Katika Interview yake na Jt TV amesema kuwa yeye kama mkongwe na aliye mtangulia Ambwene kwenye muziki wa Injili kwa muda mrefu amekua akivutiwa na uimbaji wa Ambwene hivyo walikutana kwenye mkutano wa injili uko Mbeya na kuyajenga kama waimbaji ndipo tulipo amua kutengeneza Albam ya Pamoja. Kwa hisani ya Unclejimmytz pamoja na Jt TV inakupeleka moja kwa moja kwenye Exclusive Interview ya Bahati Bukuku na Jt TV….