SHILO TANZANIA

SHILO TANZANIA

SHILO TANZANIA 2017

VIDEO: GODWIN GONDWE ALIVYOMPANDISHA FID Q KWENYE STAGE YA DAWATI CONCERT

Usiku wa August 13 2016 Mkuu wa wilaya ya Handeni Tanga Godwin Gondwe aliaandaa tamasha lililoitwa Dawati Concert kwa lengo la kuwakutanisha wakazi wa Dar es salaam,wakali kutoka Bongoflevani Fid Q, AY, Stereo, Ben Pol, Barnaba, Msami pamoja na Mfalme wa muziki wa Singeli Msaga Sumu walikuwa ni moja walioziachia burudani.

Hapa nimekusogeza karibu na mkali wa Hip Hop Fid Q alivyopandishwa on stage na mkuu wa wilaya ya Handeni Godwin Gondwe..


SHILOH TANZANIA 2017

SHILOH TANZANIA 2017