MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

VIDEO: MSHINDI WA TRACE MELISA JOHN AELEZA MIPANGO YAKE MIPYA/ALBUM/MANAGEMENT


Mshindi wa trace Melisa John ameeleza mengi kuhusiana na mipango yake mipya baada ya kushinda. Meleza alileta minong’ono mingi kwa wapendwa hii ni baada ya kwenda kushindana trace. Melisa ameiambia Unclejimmytz yeye bado ameokoka na pia soon anatarajia kuachia album yake mpya ya gospel pamoja na kutangaza management yake mpya.

Melisa ambae kwa sasa ni mama mtarajiwa anamalizi kurekodi nyimbo zake za inspiration na soon ataachia nyimbo zake mpya. Kwa habari zaidi tazama video apo chini