MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

WASIFU WA WAGOMBEA 3 UENYEKITI CUF

Twaha Taslima.
1. Ndugu.Twaha Taslima (Wakili Msomi), Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Mjumbe wa Baraza Kuu la Uongozi la Taifa. Uzoefu wa Utumishi wa Umma kwa miaka 30.
Elimu; Shahada ya Sheria na Stashahada ya Sheria.

Riziki Shahari Mngwali.

2. Bibi. Riziki Shahari Mngwali (Mtaalamu wa Utatuzi wa Migogoro), Mbunge wa Viti Maalum, Naibu
Kiongozi wa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni. Uzoefu wa Utumishi sekta binafsi na ya umma kwa miaka 30.
Elimu; Shahada tatu za Chuo Kikuu (Ubobezi wa Utatuzi wa Migogoro),
3. Ndugu. Juma Mkumbi (Mfanyabiashara na Mjasiriamali mwenye mafanikio), Diwani Mstaafu wa kata ya Kibada – Kigamboni, Mwenyekiti wa CUF wilaya ya Kinondoni, Mjumbe wa Baraza Kuu la Uongozi wa Taifa.
Uzoefu wa miaka 25 katika ujasiriamali na biashara.
Elimu; Kidato cha nne (Ubobezi wa Masuala ya Kompyuta).