MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

BISHOP DR. GERTRUDE RWAKATARE: TAFAKARI WEMA WA BWANA MAISHA MWAKO

Mungu wetu ni mwema, wakati wowote uwe na sababu ya kumwimbia Bwana. Tafakari wema wake, tafakari ukuu wa Mungu. Leo Bwana hajampungukia hata mtu mmoja wetu mshangilie Mungu kwa kukuinua na kwa kukufikisha mahali hapa ulipo, fikilia miaka mitano (5) nyuma ungekuwa wapi? Pengine ulikuwa na shati moja tu, unafua na kuvaa yaani ni kauka nikuvae lakini Mungu amekujalia unafua na kuanika na kuvaa. Anza kumtukuza Mungu na kufurahia mafanikio yako kupitia neema hii ya Bwana. OMBA SASA.

Huu ni ujumbe wa Bishop Dr. Gertrude Rwakatare siku ya Jumapili 18.09.2016